Geza Ulole Platinum Member Joined Oct 31, 2009 Posts 75,540 Reaction score 106,954 Aug 8, 2010 #1 Yule kijana mwenye mbwebwe yuko wapi? si arudi kundini jamani mbona anaharibu future yake ya siasa? Chadema inakukaribisha kwa mikono miwili mwana mpotevu!
Yule kijana mwenye mbwebwe yuko wapi? si arudi kundini jamani mbona anaharibu future yake ya siasa? Chadema inakukaribisha kwa mikono miwili mwana mpotevu!