Owosumbaku
Member
- Jan 25, 2011
- 10
- 2
KAtika matokeo ya uchagizi wa wenyeviti wa kamati za bunge sijaona majina ya HAMAD RASHID na KAFULILA. Kwa kuwa ninaamini wamegombea nafasi mojawapo kati ya zile zilizowatuma kuomba bunge kuwafungisha ndoa ya LAZIMA na CHADEMA ili waziongoze, je wametoswa?
Tunaomba mtujuze wenye taarifa.

Inawezekana mkuu?
Walifurahia vijembe bila kujua wenzao walikuwa wakifurahia wamepitia mgongoni kwao kupitisha wanayoyataka.KAtika matokeo ya uchagizi wa wenyeviti wa kamati za bunge sijaona majina ya HAMAD RASHID na KAFULILA. Kwa kuwa ninaamini wamegombea nafasi mojawapo kati ya zile zilizowatuma kuomba bunge kuwafungisha ndoa ya LAZIMA na CHADEMA ili waziongoze, je wametoswa?
Tunaomba mtujuze wenye taarifa.
Mkuu taarifa hii unatujuza wewe, mimi nilitaraji nilipoona heading ningekuta majina ya wenyeviti wote waliochaguliwa ili tuwe kwenye position nzuri ya kuchangia, kumbe wewe unauliza swali!
PAULSS , here are the names of the WATEULE
(i) Mwenyekiti wa kamati ya fedha na uchumi ni Abdallah Kigoda
(ii) Mwenyekiti wa kamati ya katiba ,sheria na utawala ni Pindi Chana
(iii) Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama ni Edward Nyoyai Lowassa
(iv)Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii ni Magreth Sitta
(v) Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya jamii ni Jenista Mhagama
(vi)Mwenyekiti wa kamati ya ardhi, maliasili na mazingira ni ………….
(viiMwenyekiti wa kamati ya kilimo,mifugo na maji ni Prof.David Mwakyusa
(viiiMwenyekiti wa kamati ya Miundombinu ni Peter Serukamba.
(ixMwenyekiti kamati ya hesabu za za serikali za mitaa ni Augustino Mrema.
(x)Mwenyekiti wa kamati ya hesabu za mashirika ya umma ni Zitto Kabwe
(xiMwenyekiti wa kamati ya heswabu za serikali ni John Momose Cheyo.
(xMwenyekiti wa kamati ya viwanda na Biashara ni Mahamoud
(xiiMwenyekiti wa kamati ya nishati na madini ni January Makamba
Mkuu Masanilo, hadi dakika hii jina la KAFULILA na HAMAD halijatokea kushinda kwenye kamati yeyote. Ninaimani kuwa hoja yao jana haikuwa kwa lengo la kushika kibendera. Sasa nauliza, ina maana hata wenzao wa CCM A wamewatosa?
Rules of the game has probably changed.
Maskini hamad rashidi misuli yote ile amechemka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kafulila nae kachemka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa wanatafuta lipi lingine? Wamekwisha kabisa kabisa! Chadema itaendelea kusimamia msimamo wake na tunaipenda hio -songeni mbele.
PAULSS , here are the names of the WATEULE
(i) Mwenyekiti wa kamati ya fedha na uchumi ni Abdallah Kigoda
(ii) Mwenyekiti wa kamati ya katiba ,sheria na utawala ni Pindi Chana
(iii) Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama ni Edward Nyoyai Lowassa
(iv)Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii ni Magreth Sitta
(v) Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya jamii ni Jenista Mhagama
(vi)Mwenyekiti wa kamati ya ardhi, maliasili na mazingira ni .
(viiMwenyekiti wa kamati ya kilimo,mifugo na maji ni Prof.David Mwakyusa
(viiiMwenyekiti wa kamati ya Miundombinu ni Peter Serukamba.
(ixMwenyekiti kamati ya hesabu za za serikali za mitaa ni Augustino Mrema
(x)Mwenyekiti wa kamati ya hesabu za mashirika ya umma ni Zitto Kabwe
(xiMwenyekiti wa kamati ya heswabu za serikali ni John Momose Cheyo.
(xMwenyekiti wa kamati ya viwanda na Biashara ni Mahamoud
(xiiMwenyekiti wa kamati ya nishati na madini ni January Makamba
Kwani waligombea kwenye kamati zipi mkuu??...