Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
MAWAKILI WA SERIKALI WAOGOPA KUHESABU FOMU ZA MATOKEO
Leo baada ya upande wa Kafulila kufunga ushahidi wao unaothibitisha kwamba Kafulila alipata kura nyingi, ilitakiwa upande wa Hasna na serikali nao watoe fomu halisi za matokeo zilizompa Hasna ushindi.
Kutokana na ukweli kwamba fomu za tume zilizowasilishwa zinampa Kafulila ushindi, mawakili wa serikali kwa lengo la kupoteza muda wameomba wasitoe ushahidi na kesi ifutwe. Kesi kuendelea April25.
Chanzo mimi Mwenyewe