kutokana na gharama ambazo taifa italiingia iwapo uchaguzi utafanyika naona ni jambo zuri kwa kafulila kwenda mahakamani,labda hii itatoa ahueni kwa serikali ambayo kwa sasa iko hoi kifedha.kesi itaendeshwa kwa muda wa miaka miwili na ushee kwa kipindi hiki serikali inaweza kuwa stable kiuchumi.kuhusu nani aliyemshauri:naamini tendwa ni mmoja wao na inawezekana serikali kupitia wasirra/pinda imehusika kumuelekeza kijana huyu nini cha kufanya.