Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
uchaguzi ukirudiwa Kgoma Kusini NCCR watalichukua jimbo au bado jimbo ni la David kupitia chama chochote cha siasakafulila ni shujaa.anateswa na kile anachokiamini alichoamua kuwaambia viongozi wake kuwa wanakosea.
kafulila ni shujaa.anateswa na kile anachokiamini alichoamua kuwaambia viongozi wake kuwa wanakosea.
wamechapwa vibao?????!david kafulila aliye engunguliwa ubunge na chama chake nccr alipokelewa kwa kishindo kama mfalme jimboni kwake na wananchi wakati huko cuf - dar kwenye mkutano wa ndani walinzi wa wa chama waliwachapa vibao wajumbe na baadhi kujeruhiwa source magazeti ya leo via rfa
hawa jamaa hawana mzaha ooh !!!wamechapwa vibao?????!
Kuna shujaa apatikanaye kwa kusema? tuambie kafulila kafanya nini![/QUOTE
Mh kwa padri slaa amefanya nini zaidi ya kubwabwaja tu.kwa maana hiyo naye siyo shujaa?
Kosa la kafulila ni kuungana na chadema kutoka nje!! alimkera m/kiti wake maana mbatia ni ccm na kafulila alionyesha u-chadema badala ys u-ccm!!
Kuna shujaa apatikanaye kwa kusema? tuambie kafulila kafanya nini![/QUOTE
Mh kwa padri slaa amefanya nini zaidi ya kubwabwaja tu.kwa maana hiyo naye siyo shujaa?
KAONGEZA UELEWA WA WANANCHI...WANANCHI WAKAMWONYESHA KWA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE WAPIGANAJI BUNGEN
Kuna shujaa apatikanaye kwa kusema? tuambie kafulila kafanya nini![/QUOTE
Mh kwa padri slaa amefanya nini zaidi ya kubwabwaja tu.kwa maana hiyo naye siyo shujaa?
PADRI Dr Slaa. Kama hujui alichokifanya nchi hii waulize CCM. Mafisadi wanatetemeka, ametujuza mafisadi wa nchi hii kwa majina, hadi leo wote wamefyata mkia including JK.
Kile kichwa kimesomeshwa sawasawa na kanisa hadi kuwa PADRI. By the way upadri ni tofauti sana na ..... angalia uelewa wa mapadri na wale jamaa zetu.....
Kama isingelikuwa ni sheria kugombea uongozi mpaka uwe mwanachama wa chama cha siasa, Nadhani tungelikuwa na viongozi wa kuanzia ngazi ya mtaa mpaka mjengoni wasio wanachama wa vyama vya siasa.uchaguzi ukirudiwa Kgoma Kusini NCCR watalichukua jimbo au bado jimbo ni la David kupitia chama chochote cha siasa
Mh kwa padri slaa amefanya nini zaidi ya kubwabwaja tu.kwa maana hiyo naye siyo shujaa?[/QUOTE said:Kamuulize JK na MAFISADI walivyoanikwa na umma kutambua kilicho nyuma ya pazia. Ujahamka wewe
teeh! Teeh! Teehe. Jamaniii!!! Majina mengine bhana. KAFULILA huku kwetu iringa maana yake ' KAJAMBIA ' wahehe hawaamin km kafulila ni jina la mtu.kafulila atakuwa maarufu si muda mrefu
David Kafulila aliye engunguliwa ubunge na chama chake NCCR alipokelewa kwa kishindo kama mfalme jimboni kwake na wananchi
Wakati huko CUF - DAR kwenye mkutano wa ndani walinzi wa wa chama waliwachapa vibao wajumbe na baadhi kujeruhiwa
Source magazeti ya leo via RFA