Kafanana na mheshimiwa flan

Weraaaaa!
Hii ndiyo faraja yetu iliyobakia,Kucheka ili tupunguze magonjwa ya moyo,
Waheshimiwa hawajuani,madaktari mahospitalini,hawajuani mpaka kibaka anavaa koti anajiita daktari wanamchangia hela
Si ajabu na mbuzi akijichomeka kwenye kinyan'ganyiro cha uchaguzi kwa jina pendwa atapigiwa kura ya ndiyoooo.
Haya! tusisahau kwenda kupiga kura jumapili ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…