Kadandia mtumbwi wa vibwengo.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Jamaa#1;John mjinga sana,kaniudhi mno!. Jamaa#2;Vp,kulikoni tena?.>>>>>>> Jamaa#1;Aargh,si ameiba namba ya simu ya demu wangu kutoka kwenye simu yangu!.>>>>>> Jamaa#2;Mnh,nini kilichoendelea baada ya hapo?.>>>> Jamaa#1;Anamtumia demu wangu message za mapenzi ila hajui kama ile ni namba ya dada yake!
 
ahahhahahahaha, wapange kuonana .
 
Mbaya zaidi dada mtu anajibu ki-mahaba na yeye. tehe tehe tehe............:lol::lol:
 
Hapo ndipo utapojua umuhimu wa kuwa na namba za simu za ndugu zako! Inaonyesha huyu jamaa hakuwa na namba ya dada yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…