Tunataka watuambie wataifanyia nini CDM sio CDM itawafanyia nini kisha watuambie walipo waliomchinja kada wetu maarufu pale unga ltd na kuachiwa na polisi wakimbie
Wenye kuweza kutabiri wanaamua kuikimbia CCM, wasiojua kutabiri wanaikimbilia CCM, kwa kujiunga na kutumika, mwisho wao umekaribia, wengine wameonekana Kibaha wakijaribu kuwarubuni Vijana wawaunge mkono nawaeleza kuwa "WAMEULA WA CHUYA".