Deo Shy
Member
- Oct 18, 2016
- 98
- 300
Shikamoo TRA Dar airport
Mzigo wa kilo 600 unalipishwa ushuru wa 17,000,000 na storage 5,200,000 jumla kamzigo haka ka kilo 600 ambazo ni vitu vya watu binafsi na tu biashara tudogo tu
Sawa tumewalipa , lakini hii nidhamu yenu ya woga itasababisha biashara nyingi sana kufa
Mimi kua mfanya biashara sio uhalifu
Kilo mia sita hata zingekua ni kilo za dhahabu kweli nilipe mihela yote hiyo zaidi ya milioni 23,000,000?
NIMEKOSA MIMI, NIMEKOSA SANA, NA NAAHIDI SITAKANYAGA TENA HAPO DAR AIRPORT ILI MSIJE NITOA ROHO BURE,,....!
[HASHTAG]#ChrisLukosi[/HASHTAG]
Kada Mtiifu.
Mytake: 2015 tulipowambia huyo jamaa hafai mlituona vichaa. Haya sasa ngoja wote tuisome namba. Sisi tulishatune mind zetu from 2015