Kabla ya vyuma kukazana sana.

Hapo walikua wanakula BATA BATAN siku hizi wanakula njiwa. Unaambiwa kwa utawala huu kama ulikua unanguo inakubana usiigawe iweke itakuenea
 
Hela za dili hizo , hela za wakulima zinapondwa na waajiriwa wao !!
 
wakati nipo mdogo nikiona chupa za bia hivyo na jinsi wakubwa wanazinywa nilikua natamani nikihisi ni tamu sana,

ila kumbe hapo ni uchungu na mapovu tu,
 
wakati nipo mdogo nikiona chupa za bia hivyo na jinsi wakubwa wanazinywa nilikua natamani nikihisi ni tamu sana,

ila kumbe hapo ni uchungu na mapovu tu,
Kuna jamaa alikuwa ananiambia,,"pombe ni chungu,hivi wanywaji wana akili kweli??"
 
wakati nipo mdogo nikiona chupa za bia hivyo na jinsi wakubwa wanazinywa nilikua natamani nikihisi ni tamu sana,

ila kumbe hapo ni uchungu na mapovu tu,
aisee mimi ndo sielewagi wanaposema tamu na wanapenda,aaa ngoja nibaki kuwa foodie kwenye vitamu tamu
 
hunywi pombe wewe!?
Chungu sana nlijitahidi kuielewa hata sikuielewa nimekunywa savanna,namaqua zote,st ann cha ajabu mpaka redds naiona chungu nimebaki kwa juice ya tikiti na muwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…