Kabla hawajatekwa wanaacha ujumbe😔

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,369
Wapo wengi waliopotezwa na kuuliwa kabisa ila wengi waliacha ujumbe wa kishujaa.

Hawa ni moja ya tuliowafahamu:
SOKA: “ikitokea nimepotezwa, msilie pambaneni na msikubali usaliti.”

MDUDE: “Kama kuna tuhuma, wanipigie niende… kwa nini kunivizia?”

BUYOBE: “nikipotea ghafla, kosa langu litakuwa kutumia haki yangu ya uhuru wa kujieleza”

POLEPOLE “Mi siogopi hata nikipotezwa watakao baki watabaki na niloyafunua
 
Aisee ni hatari sana ila haya yote yataisha
 
Aiseee! Mdude mzee wa kuliamsha dude wamekukosea sana mbogamboga mwenetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…