Kabati la vyombo na languo

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
601
Vyuma vimekaza mwenyewe anarudi shamba
Anauza kabati la vyombo lipo vizuri la mbao bei 200,000/=
Kabati la nguo mbao tupu lina milango yake ila alijafungwa so itahitaji upate fundi aifunge iyo milango mwenyewe ameiegesha tu bei 180,000/=
Anapatikana Dar es salaam, MBEZI
Maongezi yapo
Mpigie 0679247565
 
Bei iko juu kabati la kizama yale yenye kapeti ndani punguzaa
 
Mm nitatoa hiyo pesa kama ni pamoja na vyombo na nguo kwenye Hilo kabati la nguo,hata nikipata bikini sio shida!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…