Kabati la nguo linauzwa

Kabati la nguo linauzwa

milliondollar

Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
18
Reaction score
5
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,nauza kabati la nguo la milango miwili limetumika miezi sita tu ,sababu za kuuza nahama mkoa.kabati lipo dar bei ni 180k maongezi yapo,nipm namba yako kama upo interested au nicheck kwa 0767626990.kwa picha na maelezo.
NB:nmeshindwa kuattach picha natumia simu.
 
Back
Top Bottom