Beatrice Martine
Member
- Aug 9, 2016
- 22
- 5
Mbona baya hivyo unajua mbao hapo Kondoa zinapatikana kwa elfu kumi kwa mbao sasa si bora ninunue mbao zangu nitengeneze kabati langu la kisasa kabisa kuliko kuchukua huo mjerumani wa mwaka 1954. Asante mdau lakini si kwa hiyoi bei kama upo tayari nikutumie laki moja chapHabari.
Nauza kabati la mninga futi 6 kwa 6, linapatikana barabara ya 6 dodoma kwa shilingi 850000. Nitafute kwa namba 0764858251 au 0769109661.
Kanunue mbao mia huko kondoa ukija me nazinunua kila moja elfu 20. Afu uwe mninga. [HASHTAG]#hujielwi[/HASHTAG]Mbona baya hivyo unajua mbao hapo Kondoa zinapatikana kwa elfu kumi kwa mbao sasa si bora ninunue mbao zangu nitengeneze kabati langu la kisasa kabisa kuliko kuchukua huo mjerumani wa mwaka 1954. Asante mdau lakini si kwa hiyoi bei kama upo tayari nikutumie laki moja chap
Usitoe povu Hilo kabati kwa hiyo bei utasubiri sana ukizingatia Kuna za mchina tena zenye muonekano Mzuri kuliko hilo lako, mbao ya muninga isiwe sababu ya kuuza bei ghali.Kanunue mbao mia huko kondoa ukija me nazinunua kila moja elfu 20. Afu uwe mninga. [HASHTAG]#hujielwi[/HASHTAG]
Ok Fata yakoUsitoe povu Hilo kabati kwa hiyo bei utasubiri sana ukizingatia Kuna za mchina tena zenye muonekano Mzuri kuliko hilo lako, mbao ya muninga isiwe sababu ya kuuza bei ghali.
Mkuu kila mtu na taste yake. Mimi ningekuwa ninashida ya kabati la mninga ukubwa huo 700,000 nampa.Usitoe povu Hilo kabati kwa hiyo bei utasubiri sana ukizingatia Kuna za mchina tena zenye muonekano Mzuri kuliko hilo lako, mbao ya muninga isiwe sababu ya kuuza bei ghali.
Tatizo muonekano wa hilo kabati.Mkuu kila mtu na taste yake. Mimi ningekuwa ninashida ya kabati la mninga ukubwa huo 700,000 nampa.
Usifananishe mninga na takataka za maranda ya mbao za kichina.
Hahahaaa umepiga uraiani. ..Mbona baya hivyo unajua mbao hapo Kondoa zinapatikana kwa elfu kumi kwa mbao sasa si bora ninunue mbao zangu nitengeneze kabati langu la kisasa kabisa kuliko kuchukua huo mjerumani wa mwaka 1954. Asante mdau lakini si kwa hiyoi bei kama upo tayari nikutumie laki moja chap
Honestly AU asalilyHonestly kabati lako halina mvuto kabisa.
Habari.
Nauza kabati la mninga futi 6 kwa 6, linapatikana barabara ya 6 dodoma kwa shilingi 850000. Nitafute kwa namba 0764858251 au 0769109661.
Milango minne halafu huo mtindo sasa ndo hatar tupu, hyo fundi inatakiwa ashtakiwe kwa kudhalilisha hyo faniHeeeee kitu gani hicho cha kuuza kwa hiyo bei?
Labda huko Dodoma.
