BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Aug 3, 2015 #1 Habari zenu wakuu. Nahitaji kabati tajwa hapo juu lenye urefu wa mita 2 au 1.5. Nina laki 1 na 50 na nipo Mbeya. Nitanguliza shukrani.
Habari zenu wakuu. Nahitaji kabati tajwa hapo juu lenye urefu wa mita 2 au 1.5. Nina laki 1 na 50 na nipo Mbeya. Nitanguliza shukrani.
B British economist Senior Member Joined Jul 14, 2013 Posts 104 Reaction score 14 Aug 3, 2015 #2 Lipo.lakini lipo DSM.Tuwasiliane 0798 459082 kama unalihitaji