Akaunti za Google na Historia ya Wavuti
UnapofunguaAkaunti Google, Historia ya Wavutihuwashwa kiotomatiki.
Watu wengi hupata vitu wanavyovipenda kwenye wavuti – video ya kuchekesha, maagizo bora ya kupika ya chokoleti ya keki, makala ya gazeti- lakini wanavipoteza. Historia ya Wavuti inakuwezesha kuangalia na kutafutaji kwenye kurasa za wavuti ambazo umezitembelea hapo mbeleni pamoja na utafutaji kwenye Google, ili uweze
kupata maudhui bora kwa kasi na wepesi. Vilevile, inakuonyesha mienendo kwenye shughuli zako za wavuti, kama tovuti unazopenda kutembelea na tafiti zako nyingi.
Kutumia Historia ya Wavuti kuna maana kwamba utapata matokeo zaidi ya tafiti za binafsi:
Ugeuzaji kukufaa wa kuingia:Unapoingia kwenye akaunti ya Google iliyo na Historia Tovuti, Google hubadilisha uzoefu wako wa
utafutaji kukufaa kulingana na kile ambacho umekitafuta na tovuti ambazo umezizuru hapo mbeleni.Ugeuzaji kukufaa wa kutoka:Unapokuwa hujaingia kwenye akaunti, Google hubadilisha uzoefu wako wa utafutaji kukufaa kulingana na maelezo ya awali ya
utafutaji yaliyounganishwa kwenyekivinjari chako, ukitumiakidakuzi. Google huhifadhi hadi siku 180 za shughuli za utafutaji za ukiwa nje ya akaunti zilizounganishwa na kidakuzi cha kivinjari chako, pamoja na maulizo na matokeo unayobofya.Historia yako ya wavuti
huhifadhiwa kwenye seva za Google, kwa hivyo kutazama na kuidhibiti kutoka kwenye kompyuta yoyote kwa kuingia kwenye Akaunti Google. Tunahifadhi maelezo yanayohusiana na kurasa unazotembelea, kama URL, lakini hatuhifadhi picha ya ukurasa wenyewe katika akaunti yako.
Unaweza kuchagua kusitisha kuhifadhiwa kwa shughuli zako za wavuti katika Historia ya Wavuti aidha kwa muda au kabisa, au kuondoa vipengee wakati wowote.
Ni vyema kujua jinsi matokeo ya utafutaji yanavyobinafsishwa unapotumia Historia ya Wavuti katika Akaunti Google. Soma mada ifuatayo
Eneo
Kwa kutumia maelezo ya eneo, tunaweza kufanya bidhaa zetu kuwa za maana zaidi kwako. Lakini,kwa kuwa tunatambua kuwa hii ni habari nyeti, tunatahadhari sana kuitumia inavyofaa
Eneo langu katika Ramani za Google
Katika Ramani za Google kwenye simu ya mkononi na kompyuta, utapata mandhari yanayoitwaEneo Langu tambayo yanawza eneno kwenye ntndao. Hii inakuokolea muda na kusaidia kupata mahali ulipo, nini kilichopo karibu nawe na namna ya kutoka eneo moja hadi lingine. Kwenye
kompyuta, Ramani za Google hupata eneo lako kutoka kwakivinjari wavuti chako, kupitia mandhari ya jiografia ya maeneo; kwenye simu ya mkononi, Ramani za Google hupata eneo lako kupitia kifaa. Ili kujua kuhusu hili, tazama Kituo cha Msaada cha Ramani za Google hati za kivinjari chako kuhusu eneo la kijiografia.
Unapotumia Eneo Langu kwa mara ya kwanza, utaulizwa iwapo unataka kuipa Google idhini ya kutumia eneo lako. Kutumia Eneo Langu hakutuambii wewe ni nani, na wakati tunakusanya na kuhifadhi maelezo msingi wakati huo (kwamba mtumiaji asiyejulikana yuko katika eneo
kadiriwa wakati fulani), hatuweki habari za kumtambua mtu binafsi. Unaweza kuchagua kuseti eneo lako kwa mkono, kwa hivyo si lazima iwekwe kiotomatiki. Na kama unavyojua, tunaakibisha eneo la mwisho lililotumwa kwenye latitude ya Google katika Akaunti ya Google yako, labda uchague katikaHistoria ya Eneo. Ukizima Google Latitude au kutumia sifa za Latitude zijuliknazo kama "kuficha," hatuakibishi eneo lako kamwe.
Eneo katika bidhaa zote za Google
Jifunze zaidi kuhusu jinsi Google inavyotumia eneo lako katika huduma zetu zoteKituo cha Msaada.
Ni vyema kujua jinsi Google inavyotumia habari ya eneo kufanya bidhaa zetu kuwa za manufaa zaidi Soma mada ifuatayo:
Kwa Kiingereza Soma hapa:
Google Account and Web History
Google, History internet open automatically.
Many people find things they liked on the internet - funny video, best instructions to cook chocolate cake, newspaper articles-but they lost. Web History lets you view and search the web pages you have previously visited and search on Google, so you can
get better content faster and quicker. Similarly, shows trends on your web activity, such as your favorite site to visit many of your studies.
Using the history of the Internet means that you will get results than individual studies:
Customize conversions entry: When you enter into a Google account and Historical Sites, Google changed your experience of
Personalized search based on what you've looking for a website that has the front.change personalization from: When you enter the account, Google can change your experience of search personalization according to the original description
kwenyekivinjari connections your search, you enginei. Google stores up to 180 days of search activity of a foreign account to link to your browser's cookie, including questions and results are your web yobofya.Historia
is stored on Google servers, so watch and control from any computer by signing into Google Account. We reserve the details related to the pages you visit, as the URL, but we reserve the picture of the page in your account.
You can choose to stop stored in your web activity in Web History either temporarily or completely, or remove items at any time.
It is advisable to know how search results yanavyobinafsishwa you use Web History in Google Account. Read the following topic
Location
By using location information, we can make our products to be more meaningful to you. But, since we know that this is sensitive information, we use appropriate precautions to
My Location in Google Maps
In Google Maps on a mobile phone and a computer, you will find My Theme area occur on Computer. This time and help you get where you are, what exists around you and how from one location to another. On
computer, Google Maps finds your location from your Internet kwakivinjari through themes of geography of places, the mobile phone, Google Maps finds your location via the device. To find out about this, see the Help Center Google Maps to your browser's certificate on the geographic area.
When using My Location for the first time, you are asked if you want to give Google permission to use your location. Use My Location tuambii not who you are, and when we collect and store basic information at the time (that the user is in an area not known
estimated at some point), we put the story of a recognizable individual. You can choose to set your location manually, so do not must be included automatically. And as you know, we are the final archiving sent to the latitude of Google in your Google Account, maybe pick in the history Area. If you turn off Google Latitude or use features Facility as "hide," we never your area.
Area in all Google products
Learn more about how Google uses your location in our service zoteKituo of Help.
It is advisable to know how Google uses the information to make our area a more useful Read the following topics: