Hilo la mwanajeshi wala sio ishu maana kuna vidada vidogo vipo jeshini, vina miaka 22, sa kama kakutana na boda mbavu mbavu tena usiku ametoka kwenye sherehe na labda kapiga gambe analiwa tu
ishu ya mahabusu kulawitiwa tena ndani ya kituo kinacholindwa?? kinafikirisha sana aisee