Tatizo la mipira ya set pieces siyo kwa Simba tu, timu zetu nyingi hata timu ya taifa kuna tatizo Hilo.Simba wanapocheza kwa mara ya kwanza nchi ngeni na timu ngeni huwa wanapata shida sana.
Ni vema kocha apate muda pamoja wachezaji kuufahamu mpira wa timu pinzani ngeni.
Baada ya miaka mingi kuwa nje kimataifa.
Simba ilipo enda Kongo ilikula 5 kaa A.S vita.
Misri ikala 5 na Al-Ahlly
South Afrika ikala 4 na Kaiser Chief.
Beki ya Simba bado hawako vizuri kwenye mipira ya Krosi na Kona, wanashindwa taiming ya kuruka vichwa.
Simba wanapaswa kushambulia na kujilinda kwa umakini mkubwa, wenyeji wao ni wazuri sana uwanjani.
Ila yanga wana la kujivunia maana wametolewa na timu bora mno afrika! Timu ambayo imetwaa mataji sana na kila mwaka hufika nusu fainali caf!! Kwa akili za utopolo hivyo ndivyo wanavyoamini!! Manara hakukosea.)
Ni kweli Simba wamepangwa na kibonde sana. Botswana hawana asili ya mpira ktk Afrika hivyo Simba wakifuzu makundi hawatakuwa na cha kujivunia.
Mi nshabeti Simba (Nguvu Moja) tunashinda goli mbili.Galaxy atachapika nje ndani bila shida!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]kweli UTOPOLO [emoji107][emoji107][emoji107][emoji23][emoji23][emoji23]gallaxy 3-0 simba afu utasikia et kwa mkapa atoki mtu.
Hilo jina ni sahihi kabisa kwao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]kweli UTOPOLO [emoji107][emoji107][emoji107][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliiona Simba mbovu kwenye ligi, umeiona Simba mbovu na Galaxy na utaiona simba mbovu kwa mkapa mechi ya marudio. Asante, ulete mrejeshoMagori ambae ni mpambe wa MO alitudokeza safarihii Simba Ina timu Kali na imepata pre season ya kutosha. Bahati nzuri mpira unachezwa hadharani, kwenye Ligi tumesha iona Simba tunasubiri Klabu Bingwa Afrika.
Kipi Simba hatujasikia .Yaah makundi mtaenda ila huko ndio mtaenda kupata shida kutokana na Nature ya kikosi cha sasa
Struggle ni nyingi kuliko Good performance
Sometimes lazima tuambiane ukweli na tukubaliane
Km Rivers utdJwaneng Galaxy ni vibonde tu, na ikatokea mkafungwa basi mtakuwa mmefungwa na vibonde
Kustrugle ndiyo kutengeneza matokeo mazuri, Kuna kustrugle siyo kwasababu hauko bora bali ni kwasababu unataka kusimama imara na kuonyesha ubora wako.Yaah makundi mtaenda ila huko ndio mtaenda kupata shida kutokana na Nature ya kikosi cha sasa
Struggle ni nyingi kuliko Good performance
Sometimes lazima tuambiane ukweli na tukubaliane
Leta mrejesho japo nusu tuGalaxy inasonga mbele
Ila ukitolewa raundi ya kwanza tu ndiyo unatembea kifua mbele.Ni kweli Simba wamepangwa na kibonde sana. Botswana hawana asili ya mpira ktk Afrika hivyo Simba wakifuzu makundi hawatakuwa na cha kujivunia.
Mrejesho vp.Nawatakia Kila lakheri Jwaneng Galaxy katika mchezo wao dhidi ya Makolo
Makolo muli bwanji, Makolo ndii muche
Muwe mnaleta mrejesho, ndiyo ustaarabugallaxy 3-0 simba afu utasikia et kwa mkapa atoki mtu.