Magori ambae ni mpambe wa MO alitudokeza safarihii Simba Ina timu Kali na imepata pre season ya kutosha. Bahati nzuri mpira unachezwa hadharani, kwenye Ligi tumesha iona Simba tunasubiri Klabu Bingwa Afrika.
Hawa jamaa nguvu yao Kubwa n mabek wao wa pemben Ndio wanaopeleka mashambuliz hapa Didier Kama ataanza na mawinga wanaorud rud kusaidia Beki zetu za pemben itakuwa tumepunguza nguvu zao Kama atawaweka mawinga ambao hawawez kukaba Kama banda tumepigwa