Tatizo lake kapitisha hiyo hukumu kiluo luo na kudharau reports za international observers
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unaleta habari ya kuambiwaHuyo mkisii ni pro raila vibaya sana yaaan nilikuwa nyamira miezi mitatu iliopita nilikuwa na kijana anamuita maraga Mjomba aliapa kbsa hii zam ya raila na hata Mjomba yuko nae kwa hukumu hii nikukumbuka Yale maneno nimeamin kbsa
Soma vzr nimerelate hyo hali na maneno ya ndg yake sasa sioni sababu ya kunidhihakiKumbe unaleta habari ya kuambiwa
haya kalaghabaho.
Lakini hayo hayakuwa maamuzi yake pekee. Kulikuwa na majaji wengine waliochangia ku-nullify election.Huyo mkisii ni pro raila vibaya sana yaaan nilikuwa nyamira miezi mitatu iliopita nilikuwa na kijana anamuita maraga Mjomba aliapa kbsa hii zam ya raila na hata Mjomba yuko nae kwa hukumu hii nikukumbuka Yale maneno nimeamin kbsa
Hapana yeye Na Lissu tofauti. Usiwalinganishe tafadhali.Hill ni jembe kama lissu
Lisu is a a mixed bag of a lawyer cum politician. Maraga is a 100% lawyer with outstanding credentialsHill ni jembe kama lissu