Just thinking aloud: Kwanini Lowassa hastaafu siasa?

artch2311

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
1,375
809
Lowasa aliahidi kwenda kuchunga Ng'ombe kama angeshindwa.
Umri na Hali yake kiafya haitoi tumaini lakuweza kusimama tena 2020.
Kasi ya JPM karma itadumu itapunguza sana nguvu ya upinzani.
Hakuna uwezekano umaarufu wake (ENL) kuongezeka kuliko 2015.
Chadema au ukawa hawawezi kumbeba Lowasa, Bali kinyume chake (ndio maana wanamtetea sana kwamba kaongeza nguvu, wabunge nk) .
Hakuna jitihada za kutosha kujijenga na kujiimarisha ndani ya Upinzani karma alivojenga MTANDAO ndani ya CCM
ENL sio mpinzani kwa Dhana wala ITIKADI.
Take mambo mengi sana yanayoashiri kwamba zama zake zimeisha..
Kwa Kuwa lengo lilikuwa ni MADARAKA ambayo kwa sasa hawezi kuyapata tena...
KIPI KINAMFANYA AENDELEE KUBAKI KWENYE SIASA....!!??
Imebaki sababu moja tu inayomfanya abaki ulingoni
KUTUMIA UPINZANI KAMA KINGA ILI UFISADI AWAKE USITUMBULIWE.
Ndio, inahitaji ujasiri mkubwa kumshughulikia kiongozi wa Upinzani
HONGERA SANA LOWASA.
 
ulichoandika kina ukweli fulani kwa kiasi kikubwa,,, lakini ulivyoitimisha(paragraph ya mwisho) haupo sahihi. hakuna uhusiano kati ya kutumbuliwa kwa lowasa na yeye kuwa chadema/upinzani
 
Kuna wakati natamani nitembeze nyundo kwenye vichwa vya WATANZANIA wenye fikra mgando kama za mtoa mada labda pengine ingesaidia kuwatoa katika usingizi wa ujinga na ulofa....
Watu waliotimamu muda huu wanaangalia mustakabali wa nchi unakwendaje na majipu yanavyotumbuliwa....watu wanaumiza jinsi gani taifa letu litajikwamua kwenye kitanzi cha ujinga na umasikini wa kutengenezwa....
Watu wanajadili jinsi gani ya kuiboresha elimu yetu angalau wahitimu wawe na maarifa vichwani na sio vyeti mkononi....lakini bado kuna wapuuzi wanawadiscus watu ambao hawapo kwenye michakato ya huko.....

HIZI NDIO FIKRA MGANDO.....
 
Bravo
 
Tangu lini siasa ikawa na mwisho??? Hivi kwanza hakuna waliomzidi umri lowasa???? Kwenye siasa??? Mwinyi, Kingunge, Hao wote si walianza siasa kabla ya lowasa???

Iweje lowasa aache???
 
Lowasa aliahidi kwenda kuchunga Ng'ombe kama angeshindwa.
Umri na Hali yake kiafya haitoi tumaini lakuweza kusimama tena 2020.
Kasi ya JPM karma itadumu itapunguza sana nguvu ya upinzani.
Hakuna uwezekano umaarufu wake (ENL) kuongezeka kuliko 2015.
Chadema au ukawa hawawezi kumbeba Lowasa, Bali kinyume chake (ndio maana wanamtetea sana kwamba kaongeza nguvu, wabunge nk) .
Hakuna jitihada za kutosha kujijenga na kujiimarisha ndani ya Upinzani karma alivojenga MTANDAO ndani ya CCM
ENL sio mpinzani kwa Dhana wala ITIKADI.
Take mambo mengi sana yanayoashiri kwamba zama zake zimeisha..
Kwa Kuwa lengo lilikuwa ni MADARAKA ambayo kwa sasa hawezi kuyapata tena...
KIPI KINAMFANYA AENDELEE KUBAKI KWENYE SIASA....!!??
Imebaki sababu moja tu inayomfanya abaki ulingoni
KUTUMIA UPINZANI KAMA KINGA ILI UFISADI AWAKE USITUMBULIWE.
Ndio, inahitaji ujasiri mkubwa kumshughulikia kiongozi wa Upinzani
HONGERA SANA LOWASA.
Kanye ulale seems EL is a major pain in ur...
 
Lowassa amekuzwa kisiasa ndani ya CCM, haiba yake kiuongozi ilitengenezwa ndani ya chama hicho kikongwe. Tanzania ya mwaka 2020 itakuwa na tofauti kubwa sana na ile ambayo Lowassa alikulia. Ushauri wangu kwa watu wanaomzunguka, wamshauri awe kiongozi anayefuatwa kwa ajili ya kuombwa ushauri. Awe ni mtu wa kutoa mawazo yatakayowajenga wanasiasa vijana ambao watakuwa na nguvu nyingi kimwili wakati uchaguzi wa 2020 utakapowadia.

Lowassa anaingia kwa kasi katika lile kundi la raia wakongwe, wenye umaarufu Tanzania. Anayo mengi sana yaliyo ndani ya hazina ya uzoefu wake wa miaka ya nyuma. Hana cha kupoteza iwapo ataamua kuwa mshauri maalum wa upinzani. Simuoni akiwa na nguvu za kampeni za mwaka 2020, ninamuona kama mtu wa kutumika kiakili kwenye ujenzi wa upinzani, sidhani kama atakuwa na nguvu za kutumika kimwili kwenye uchaguzi mwingine mbeleni.
 
Hayo niyako
Mada hapa ni Lini JIZI LITA ACHA SIASA
maana tumesha lilaani vyakutosha
Lumumba aijawai ongelea wezi (mafisadi) kwa maana ndo wausika wakuu wenzio wamenyama coz ilikua ni kampeni ile nw wanaendelea na wizi wao angalia watakutenga shauri yako mana we maisha bila chama utakufa njaa
 
Back
Top Bottom