Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,498
- 37,792
Uko sahihi Mkuu. Mtu kabla hajasikia vizuri kabeba kaondoka nao eti eat and run kumbe ni HIT & RUN.Hakuna msemo kama huo.
Eat and run
Utakuwa umeanzisha wewe huo msemo
Waswahili muwe mnatumia kiswahili.