Jussa na Lissu wapo live DW Ujerumani

Siasa siasa siasa.Watanzania tunarudishwa nyuma miaka 20.Na tunachekelea na kushangilia.
 
Lowasa ataongeza nguvu kubwa ukawa-Tundu Lissu
 
hakuna mpasuko ukawa Tindu lissu
 
wanasemaje kwani nawao wamekubali safari ya matumaini ndani ya UKAWA?
 
Unapoishabikia ccm kama zuzu?huoni unairudisha tanzania miaka 100 nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…