Junior Malanda mchezaji wa Wolfsburg na timu ya taifa ya Belgium amekufa kwa ajali huko nchini ujeruman. Malanda kwenye miaka 21 ameichezea Wolfsburg mechi 19 mbili kati ya hizi dhidi ya Evaton kwenye Europa league.
Chanzo: BBC sports.
RIP Junior Malanda