Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,706
Picha yake
Ova
Napenda mnavyofuatilia yanayotendeka Kenya.Baada ya Emmy Kosgei ,June Ruto "mkale " wa pili kuolewa na mnaigeria. Kenya men cant keep up the pace ya watoto wa northrift
Napenda mnavyofuatilia yanayotendeka Kenya.
Baadhi ya wanajumuiya ya EA are 99.999999 % integrated. EA oyee!Napenda mnavyofuatilia yanayotendeka Kenya.
Bwana harusi kapigwaBi June Ruto ambaye ni Binti wa Naibu Rais wa Kenya Dkt William Samoei Ruto amefunga ndoa takatifu na Dkt Alexander Ezenagu.
Bwana harusi Dkt Ezenagu ni Raia wa Nigeria.
Sherehe za harusi zilifanyika siku ya Alhamisi Mei 27, 2021 maeneo ya Karen Jijini Nairobi.
Rais Uhuru Kenyatta ametuma salaam za pongezi na ameahidi kwenda kuwaona na kuwapongeza Wanandoa hao baada ya kumaliza ziara yake Kisumu.
Hakuna haja ya picha we elewa jamaa kapigwaPicha yake
Ova