MacDonald syndrome!!Mzee Temba anatatizo Kiafya ... AMA macho yangu?
MacDonald syndrome!!
This is too low jamani tawi la CCM NY linawezaje hasa kutoa chachu ya mageuzi ndani ya CCM wakati hao walioko kwenye uongozi ni makuwadi wa ufisadi? Gamba haliwezi kuondolewa huko, gamba linatakiwa kuondolewa Magogoni.
Re: JUMUIA YA WANAOISHI NY, NJ na CT yapata Viongozi Wapya hili ndio Gamba Jipya la CCM huko??
- Hiki ni chama cha wa-Tanzania wote, I was there ukiangalia records humu utaona kuna wakati nilitangaza kuundwa wka hiki chama, so proud kwamba sasa kimesimama,
- The next phase sasa ninaendelea na matayarisho ya kufungua tawi jipya la CCM, ambalo kama kawaida kila mwananchi anaruhusiwa kuwa mwanachama, tunasubiri maelekezo zaidi toka Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
- Ninapenda nimpongeze Ndugu yangu Hajji Khamisi, ambaye nimempigia debe sana kule Facebook kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa chama, smart, strong, young and intelligent, bravo bro na wengine wote pia mliochaguliwa hongereni sana, I am looking forward to work with you guys on the CCM's side!
- Much Respect!
William @ NYC, USA.

Acha kujikosha wewe Malecela kwani taarifa za CCM zinaonesha wazi wewe ni Chadema na unamiliki Jamiiforums ili uiangamize CCM sasa hizo tambo unadhani zitabadili upepo wa Nape?
mkuu ebu ongea lugha inayoeleweka hiyo sio jumuiya ya watanzania, hiyo ni jumuiya ya CCM, labda sema watanzania wote wanakalibishwa,
na sio kujaribu kuwabaka watanzania kwa kujifanya ni jumuiya ya watanzania na hakuna CCM wakati hapo umesema unasubiria maelekezo kutoka ccm makao makuu, watu kuwa wanachama sio tatizo ila hii jumuiya ni ipi? ccm au watanzania? na ukisema watanzania hiyo ccm dodoma imekuja je?
maana sio muanze kutumia hela ya serikali kwenye mambo ya chama kwa kujifanya ili sio tawi la chama, kuweni wawazi hata mafisadi walianza hivi hivi,
come again please!!!!!!!!!!!!