Dar ni pay on Delivery, ila mikoani in Pay before delivered, wanafanya hivyo ili kuepush Usumbufu,wanaweza kuleta bidhaa mkoani halafu wasikupate,so Pay before ni mikoani
Kuna bidhaa nataka ninunue kupitia mtandao wa jumia lakin wanataka nilipie kabisa hapo ndipo nimepata ukakasi,,Mwenye uelewa kuhusu mtandao wa jumia naomba anisaidie au aliewahi kununua bidhaa Jumia Msaada wadau
Mi nipo Morogoro nilichagua bidhaa kwenye app yao nikalipa kwa tigopesa , bidhaa nikaenda kuichukua hapo Msamvu stand kwa uaminifu, labda waniibie next time, lakini wapo vizuri Jumia