Huo sasa uchokozi...hi hi hi....Hapo angekuwa Mzee Jongo angekuambia Aaah ndio hiyo hiyo!.Kwa underground unamaanisha basement?
Amefulia amekosa pesa ya kupaulia huyo anatafuta wa kumshikisha.kwa nini unauza?
Huo sasa uchokozi...hi hi hi....Hapo angekuwa Mzee Jongo angekuambia Aaah ndio hiyo hiyo!.
mkuu nina 40 million,ambazo i hope Nyani Ngabu atanikopesha.....
Mkuu ni halisia ya gharama nilizoingia but its negotiable.Kwa mbele ghorofa kwa nyuma bangalow
kwa nini unauza?
Ndivyo ilivyo.Kwa mbele ghorofa kwa nyuma bangalow
No ipo kwenye tangazo lenyewe.nipe namba niku m-pesee