Jumba ghorofa tatu lipo sokini

Jumba ghorofa tatu lipo sokini

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,098
Reaction score
324
IMG_7615.JPG

Jumba hilo lipo Mbezi Juu si mbali toka barabara iendayo Bagamoyo.

Jumba halijakamilika.

Upande wa mashariki wa jengo hilo una nyumba tatu ambapo kila nyumba ina chumba cha kulala chenye choo na sehemu ya makabati, jiko na sebure pamoja na choo cha wageni. Upande wa mashariki pia, una nyumba tatu ambapo kila moja ina chumba cha kulala chenye sehemu ya choo na sebure pamoja na choo cha wageni.

Nyumba zote za upande wa mashariki zina balcon.

Ukiwa katika nyumba mbili za juu unaitazama bahari ya Hindi vizuri na kuupata upepo mwanana kiasi kwamba uhitaji hewa ya fan wala Ac 24/7

Jumba limejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1094. Kiwanja kina Hati Miliki

Bei Tshs 220mil. Maongezi yapo.

Mawasiliano kwa whatsapp na kupiga 0784225000.

kutazama nyumba nyingine zilizopo sokoni bofya hapa: www.kitomai.com
 
Attachments

  • IMG_7613.JPG
    IMG_7613.JPG
    29.8 KB · Views: 60
  • IMG_7612.JPG
    IMG_7612.JPG
    25.4 KB · Views: 57
  • IMG_7593.JPG
    IMG_7593.JPG
    11.4 KB · Views: 55
  • IMG_7600.JPG
    IMG_7600.JPG
    26.5 KB · Views: 60
  • IMG_7606.JPG
    IMG_7606.JPG
    11.4 KB · Views: 53
  • IMG_7602.JPG
    IMG_7602.JPG
    11 KB · Views: 59
Kila la kheri mkuu maana maelezo yamekamilika sana.
 
View attachment 415195

Jumba hilo lipo Mbezi Juu si mbali toka barabara iendayo Bagamoyo.

Jumba halijakamilika.

Upande wa mashariki wa jengo hilo una nyumba tatu ambapo kila nyumba ina chumba cha kulala chenye choo na sehemu ya makabati, jiko na sebure pamoja na choo cha wageni. Upande wa mashariki pia, una nyumba tatu ambapo kila moja ina chumba cha kulala chenye sehemu ya choo na sebure pamoja na choo cha wageni.

Nyumba zote za upande wa mashariki zina balcon.

Ukiwa katika nyumba mbili za juu unaitazama bahari ya Hindi vizuri na kuupata upepo mwanana kiasi kwamba uhitaji hewa ya fan wala Ac 24/7

Jumba limejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1094. Kiwanja kina Hati Miliki

Bei Tshs 220mil. Maongezi yapo.

Mawasiliano kwa whatsapp na kupiga 0784225000.

kutazama nyumba nyingine zilizopo sokoni bofya hapa: www.kitomai.com
Mkuu kweli maelezo yamejitosheleza sana kila lakheri ila ni ghorofa mbili na sio tatu
 
Dah mkuu limeshuka tena!!!!!!

Kila la kheri.
 
Mbona naona picha ya nyumba yenye ghorofa 2, tupia picha za hiyo unayozungumzia yani yenye ghorofa 3
 
View attachment 415195

Jumba hilo lipo Mbezi Juu si mbali toka barabara iendayo Bagamoyo.

Jumba halijakamilika.

Upande wa mashariki wa jengo hilo una nyumba tatu ambapo kila nyumba ina chumba cha kulala chenye choo na sehemu ya makabati, jiko na sebure pamoja na choo cha wageni. Upande wa mashariki pia, una nyumba tatu ambapo kila moja ina chumba cha kulala chenye sehemu ya choo na sebure pamoja na choo cha wageni.

Nyumba zote za upande wa mashariki zina balcon.

Ukiwa katika nyumba mbili za juu unaitazama bahari ya Hindi vizuri na kuupata upepo mwanana kiasi kwamba uhitaji hewa ya fan wala Ac 24/7

Jumba limejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1094. Kiwanja kina Hati Miliki

Bei Tshs 220mil. Maongezi yapo.

Mawasiliano kwa whatsapp na kupiga 0784225000.

kutazama nyumba nyingine zilizopo sokoni bofya hapa: www.kitomai.com

Kama haina mgogoro wowote wa umiliki, eneo lake halina mgogoro na liko sehemu isiyo hatarishi, nitakusaidia. Ni PM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom