technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,646 Reaction score 58,443 Jun 23, 2025 #1 Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!!
Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!!
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,319 Reaction score 83,199 Jun 23, 2025 #2 technically said: Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!! Click to expand... Hizo timu hazina maana kwa sasa zinatumika kisiasa kupumbaza watu
technically said: Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!! Click to expand... Hizo timu hazina maana kwa sasa zinatumika kisiasa kupumbaza watu
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,139 Reaction score 24,560 Jun 23, 2025 #3 Mechi iliahirishwa kwa sababu yake
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,600 Jun 23, 2025 #4 Yanga Bingwa
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,670 Reaction score 14,645 Jun 23, 2025 #5 technically said: Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!! Click to expand... Tanga mlienda na T+shirts za hamchezi mlifukuzwa je huko kwenye ndanda Kosovo
technically said: Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!! Click to expand... Tanga mlienda na T+shirts za hamchezi mlifukuzwa je huko kwenye ndanda Kosovo
I idtech JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 318 Reaction score 800 Jun 23, 2025 #6 technically said: Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!! Click to expand... Hawataruhusiwa kuingia nayo, badala yake yafichwe
technically said: Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!! Click to expand... Hawataruhusiwa kuingia nayo, badala yake yafichwe
M mwanamabadiliko JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 1,364 Reaction score 2,395 Jun 23, 2025 #7 idtech said: Hawataruhusiwa kuingia nayo, badala yake yafichwe Click to expand... tutavaa mbili, ya no reform ndani
idtech said: Hawataruhusiwa kuingia nayo, badala yake yafichwe Click to expand... tutavaa mbili, ya no reform ndani