Nishafungua uzi kaka ili nipate maoni mengi kwa wadau asante sanaMwambie gari Nitakuwa tu, uwe na subra Mungu atajaalia
Mambo ya kulana yameshika kasiAisee toka ni mdiskave huyu dada nimekuwa addicted to her songs....
View attachment 3622931
Alaf shemeji yenyu yupo nje anafua nguo mm nafanya kaziii zangu online,
Alafu in the background zinapigwa ngoma za SZA Oyaa what a satisfying Sunday this is...
View attachment 3622932
Akiingiia shemeji yenyu namvuta kidogo namkimbatia ananiambia kwa kulalamika, "Gunner, niachie kwanza basi nipo tu utanila nikimaliiza kufua na nikapika kwanza.."
What a beautiful moment to be alive.
Guyz mapenzi matamuu
Swali la kizushi, nishajua umejua nataka kukuuliza niniGuyz mapenzi matamuu
Na wewe angalia angalia hapo uliwe usiwe unakaa kizembeMambo ya kulana yameshika kasi
labda kuinjoi ngoma pekeake ila hivyo vingine ni ulongo😅Pole ya nini wakati nainjoi
sio kutania ni kudanganyaUnafikiri natania?