Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Tabia Za Kihuni Kama Hizi Hatuzitaki Katika Michezo.Tff Itoe Adhabu Kali Sana Ya Kumfungia Kucheza Mpira Maisha.Aende Akaendeleze Huo Uhuni Wake Huko Mchangani.Kuvuta Mibange Icwe Sababu Ya Kuendekeza Tabia Za Kishenzi Na Kihuni.Pumbavu Sana Huyu Mtoto!
Na wewe una akili kama za Nyosouyo jamaa anasikilizia tu utamu?
TFF kupitia kwa Jamal kasema hatua zitachukuliwa haraka kwa hilo punga.
Azam FC wameiachia TFF ichukue hatua stahiki hata hivyo wame-propose adhabu kali itolewe. Historia inaonesha hilo ni tukio la 3 kwa Nyosso kufanya hivyo; mara ya kwanza alifanya hivyo kwa Joseph Kaniki wa Simba yeye Nyosso akiwa Ashanti United, mara ya pili alimfanyia hivyo Elias Maguli wa Simba na yeye Nyosso akiwa Mbeya City na mara ya mwisho kamfanyia John Bocco wa Azam FC na yeye Nyosso akiwa Mbeya City.
nae apigwe middle finger tu maana hakuna namna sasa
Anatafuta kiki.
Afu inakuaje uyo jamaa anasikilizia tu utamu?
Juma Nyosso kaharibika sana, sio yule wa Simba! Tatizo kaenda mji wa Mbeya wenye wahuni wengi na wakazi wake wengi hawajitambui. Tatizo ni Mbeya! Imebidi abadilike kutokana na mazingira.