Nahodha wa timu ya taifa Juma Kaseja amekuwa mchezaji wa kwanza nchini kupata udhamini mnono toka kampuni ya Nike thou sijapata kiasi cha Pound ambazo anazitia kibindoni kwa kila mwaka baada ya kuingia mkataba nao. Nafuatilia nitarudi soon.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums