Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA

tutaimiss ile misemo yake ya taarabu,lakini angeongea hata na aisha mashauzi au mzee yusuph amewe nafasi kwenye jukwaa,tusikubali kipaji kupotea hichi.
 
Mkuu, pole sana. Najua inakuuma sana kwa haya niliyoandika. Ila jukumu langu ni kuwahabarisha kile ambacho mlikuwa hamkijui
Hahahaja...uyu mtoa maada ni pumba sijawai ona..eti aliahidiwa kitita cha milion500 una akili kweli..???? Km ujui funga mikono yko..Duni Haji alijiunga cdm kutokana na makubaliano ya kuachiana majombo na kumsimamisha mgombea wa ukwa mmoja..kilichofanyika ni kua ilibidi ahamie cdm ili cuf iwe na mwakilishi ktk nafasi ya raisi..so kwkua katiba inataka lazma makamu awe mwanachama wa chama kilichosimamisha mgombea uraisi ndio maana aliamia cdm sio utumbo uliomwaga apo..
 
Tutapata habari rasmi muda si mrefu kutoka kwa wanaohusika na mambo haya.
 
nauza mali zangu zote nagawia maskin kumbe mke wang anaweza niua kisa hz mali nilidhan n hadith za biblia kua yesu aliuzwa na yuda alininuliwa kwa hyo na kifo cha mende walimnunua
 
Vijembe toka CUF kwani waliachana kwa shari mkuu? Sio kwamba ni kitu kilizungumzwa ili kukidhi masharti ya kisheria ya kuwa mgombea mwenza chadema?
Naona dalili za Lowasa kurudi CCM zinaanza, babu Duni alifwanywa kuwa tarishi wa kupeleka bahasha za kupinga matokeo kwa mwenyekiti wa NEC
 
hahahahahahah....huu sasa upuuzi...sisi CUF na CHADEMA tulikuwa tunajua kuwa tuko na Duni temporarily KWA sababu ya Katiba mbovu ya Tanzania inayokataza coallition ya poitical parties....
Kwa hiyo mlitaka mpewe nchi temporarily pia?? Daaaa viroba noma sana kwa kweli
 
......"UTENZI AU BETI HIZI ZA MASHAIRI YA KIBUNIFU ZIMELETWA KWENU NA @Lizaboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…