PreGE2025 Juma Aweso autaka tena ubunge jimbo la Pangani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani Mhe. Jumaa Aweso amechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena Ubunge wa jimbo la Pangani mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Fomu hiyo iliokabidhiwa na kupokelewa baada ya kurejeshwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Pangani, Abdul Swala.
1751201256623.png
 
View attachment 3388443
Akipata ubunge ataongeza bibi wa tatu
 
Huyu keshapita ni hivyo tu Sheria imeondoa utaratibu wa kupita bila kupingwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom