Ni kwel huo ndio uvumi ulioenea kuhusu vyama hivyo viwili lakn yaan cuf-uislam na chadema ukiristo k2 ambacho hata mimi kinanikera sana kwa wa2 kushndwa kujua kuna m2 mwenye dini na kuna chama cha msingi hapa 2siangaike na imani yake bali kama umependa sera za chama hucka jiulize je? Anazitekeleza sera zilizo andikwa?Julius Mtatiro amefanya mahojiano na gazeti la Mwanahalisi na kusema kinachomkera na kumuumiza roho ni dhana iliyojengeka kwamba CUF ni chama cha Kiislamu.Amepinga vikali dhana hiyo na kusema hakuna upendeleo wowote wa kidini ndani ya CUF na ndio maana yeye Mkristo akapewa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu.Amesema ataanzisha moto nchi nzima kudai katiba mpya na kufuta hiyo dhana ya udini dhidi ya chama chake.Amesema atahakikisha ule umaarufu wa kale wa CUF utarudi na chama chake kitavipiku vyama vyote hapa nchini.
Wadau imekaaje hii? Kweli Julius Mtatiro ataweza kufuta dhana hii....................
Mkuu,
Hongera sana, naona urefu wa I am full time……..umepungua. yale mengine umepitisha uamuzi mzuri wa kuyaacha.
Hongera sana mkuu na hili lililobaki litaondoka!
well done, Rev.
Are you a lesbian? ishia zako
Mkuu inaoneka wewe huna kipya unapenda fatilia nonsensical issue unaweza shangazwa ukingundua Rev Masanilo wa JF ni ustaadhi hata pombe hajawahi iona!
Hivi Wilfred Rwakatare bado ni kiongozi wa CUF?
Julius Mtatiro amefanya mahojiano na gazeti la Mwanahalisi na kusema kinachomkera na kumuumiza roho ni dhana iliyojengeka kwamba CUF ni chama cha Kiislamu.Amepinga vikali dhana hiyo na kusema hakuna upendeleo wowote wa kidini ndani ya CUF na ndio maana yeye Mkristo akapewa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu.Amesema ataanzisha moto nchi nzima kudai katiba mpya na kufuta hiyo dhana ya udini dhidi ya chama chake.Amesema atahakikisha ule umaarufu wa kale wa CUF utarudi na chama chake kitavipiku vyama vyote hapa nchini.
Wadau imekaaje hii? Kweli Julius Mtatiro ataweza kufuta dhana hii....................
Bro can you expound the highlighted quotes! Thanks
I have the same feeling that CUF is just a normal political party, It is clear that many follower of this very party have different idea regarding this party, If Lipumba and Seif were serious enough to eradicate this problem, it wouldnt be as it is today. They like and enjoy the idea of their followers that CUF is for Islam. Lipumba did his campaign (2010) in areas where Islams are populated most.
The best way to solve the problem is for Lipumba and Hamad to step down, and some other member to step up.
In politics however how much we can rationalize our reasons still people judge differently, and their judgement have big impact is such a way that it can destroy in areas were it was not supposed to be destroyed.
Not far in future even the top leaders of Chadema need to deal with these problem intelectually not just assuming that people understand...no...is to do exactly as they want even if by using propaganda 'danganya toto' this kind of tactics is well employed in politics anywhere.
Mtatiro you made big big mistake to contest with Mnyika, I wished to have you in the house-Dodoma! You made wrong choice, you were supposed to stand with Azan!! you decided not to because of your secret agenda...
Mtatiro wazo lako nizuri sana lakini huna uwezo wa kugeuza misingi iliyo ijenga CUF........na huna uwezo wa kuijenga CUF na kuwa maarufu kama unavyo nadi ushauri wangu ondoka CUF mapema kabisa kajiunge na kafulila NCCR mwaka 2015 uta weza kubahatika kupata ubunge sio huko uliko. Na usijaribu kuja CDM kwasababu tumesha acha kupokea mamluki shibuda anatutosha
hapo umenena
Unaendelea kunifata fata tu! MODs remove this GAY from the forum
Hiyo dhana haiwezi toka ,mfano we angalia cuf kipo hasa maeneo gani? Ni maenel ambayo ni waisalamu wengi kwa bara ni ukanda wa pwani tanga ,kilwa,lindi,zanzabar
Hizi hesabu za kichina zimenipiga chenga mkuu wangu. Naomba kuwasilisha. -😉dhana ya dini ni ya CCM ukweli ni kuwa CHADEMA ni bara na CUF ni zanzibar tuu.. tusubiri katiba mpya my tanganyika ipewe hadhi kuliko kudharauliwa kama zamani..... Basi CHADEMA tunakula nchi kama tunanawa na mafisadi wooote tunawafunga,, tunabaki CHADEMA na wananchi tuu kuyapiga maziwa na asali za nchi hii... Elimu bure mpaka Phd NGUVU YAKO TUUU.... Kila mwekezaji lazima ugawe kipato wa wakazi wa karibu hapo tuu.. Sheria ya fisadi anyongwe kama China vile... Akii ya nani tutawaacha akina Maalim wakifisid Zanzibar kama alivyozoea na wenzake akina Rashid tuliowatenga kwa kuwa budget ya upinzani na matumizi hata hapakuwa na statement ya matumizi... aliiba saaana... hizo mil 200 kila mwezi za upinzani tutatumia kwa operesheni tuu hakuna kulala... waacheni CUF waendelee na ufisadi wao 20005-2010 walikuwa wakipata mill 99 pamoja na 200mil za kambi ya upinzani lakini wapi???? CHADEMA mwisho wa siku ikang'ara kwa kuwa pale hakuna udini au kusilimu ni kazi tuuu... ukianza kupenda kuwa tajiri kama Zitto kwa kuvuruga chama tunakutimua tuuu
Una maana kwa hiyo CUF wanampa tuzo (reward) kwa kazi nzuri aliyoifanya kugawa kura za wapinzani ingawa hawakufanikiwa siyo? Angalau alikuwa royal to his mastersMtatiro na uhakika angeweza kuwa mbunge lakini walimpandikiza akagawe kura za Upinza ubungo, Sisi tunalifahamu hili kwa undani kwa sababu Mtatiro alikuwa anamuunga JJ Mnyika toka 2005 tuko naye Chuo sasa iweje leo anakuja kumpinga kwa kutumia kauli mbiu za CDM kama Peoples Power, 2010 Hatudanganyiki etc.
Huyu jamaa mimi sina imani naye maana angegombea hata temeke au kwingine angepata kura nyingi.
Najua hata watu wa CUF hili hawakulifahamu kwamba kupandikizwa kugawa kura za upinzani kunaweza kukufanya ushindwe kabisa.
Peoples Power