Inasikitisha kuona kuwa huyu kiongozi wa ANC hana nidhamu na mbaguzi real shame...Inabidi Zuma au viongozi wengine wa ANC wamshike sikio na kumueleza namna ya kuwa mstaarabu..Anyway inaonyesha wazi kuwa ni mbaguzi na he will be a disaster to South Africa...Hivi kweli hili bara letu linaenda wapi? He is like Mugabe only way is down...
Agreed Mr Drifter, scums are in evry society, be it the likes of Malepa or the apartheidist KK.It is the duty of the relevant society to Moderate them.
majuzi nilimsikia akisema atataifisha mashamba yote ya wazungu, huyu jamaa ni mjinga kupindukia..anataka kuigeuza nchi iwe kama zimbabwe..
aibu kubwa sana kwa waafrika!!