Julio amchana mno Maestro

Julio amchana mno Maestro

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Leo Julio wa simba kamchana Maestro akidai anamfitini kwenye club. Amedai jamaa anajifanya bonge la kocha kwa vyeti vya tandale! Nami sipendi anavyotangaza kipindi cha michezo Clouds fm. Hawapi nafasi majembe kama Shafi na Jeff kuongea. Anajifanya mjuaaaji
 
akisema vyeti vya Tandale maana yake anaikashifu na TFF iliyomoa Maestri kozi hiyo
 
Julio Pereira Wenger Ferguson Mancini yote majina yake
 
Julio fani yake ni mipasho, huko kwa akina Mashauzi kunamfaa zaidi.
 
Kweli Maestro akitangaza kipindi cha michezo kinapoa sana kuliko Lwambano. Anafaa kuwa fundi mitambo tu na siyo utangazaji
 
Tatizo huyu Maestro anapokuwa anatangaza anashindwa kubalance interest kitndo cha kuwa kiongozi wa club kubwa hapa nchini ilitakiwa aache kutangaza kipindi cha michezo clouds sababu hiyo ni Radio huru kama utagundua ana ka unazi fulani...halafu juzi anadiliki kuongelea mgogoro wa Simba akiwa mtangazaji kiongozi wa kipindi wakati yeye ni mjumbe wa kamati ya utendaji iliyomtoa RAGE (conflict of interest) tena hoja zake ni za kutetea maamuzi yao na cha kushangaza zaidi Shaffii Dauda akawa anatoa hoja kuchallenge Maestro kwa kutojua na akamwambia shaffii naomba unichukulie mimi wa hapa clouds...HOPELESS kabisa inawezekanaje wakati tayari ana maslahi kwenye hiyo ishu, ushauri wangu Clouds wampe kipindi kingine au aache kazi.
 
Maestro anaharibu sana kipindi cha sports extra. Hawapi wenzake wasaa na hujiona mjuaji sana! Clouds FM do the needful please!
 
Acheni fikra mgando maestro yuko poa na akiwa hapo studio atazamwe kama maestro siyo kama kiongozi wa simba,julio anafikra mgando mbona hata wachezaji wana mlalamikia anawatukana.
 
Katika Mwaka Tuliolaanika Simba ni Huu Kwani Kocha Mkuu ni Bonge la MENDE na Amemuharibu Kabisa Kipa Ntala Kwa *148* 01# Ok na Julio Nae Kwa Muda Mrefu ANAMENDEWA na Waarabu wa OMAN na Jamaa Wa Hotel Yetu Ya Sapphire Hivi Kwa Tabia Kama Hizo Za Makocha Wetu Unadhani Patakuwa na Baraka Za Mungu Hapo? Sina Mashaka na Ibrahim Masoud Maestro na Anajua Mpira na Akiwa ktk Kipindi Utafurahi Japo Sina Ninaemchukia ktk Sports Extra Kwani Wamejipanga na Wote Wanajua. Julio Kumsema MAESTRO Ni Kutafuta tu Publicity na Kumfanya Maestro Kama Scapegoat Wake na Ana Mambo Ya Kitoto na Ya Kike Sana na Ana Sifa za Kijinga. Kocha Gani Asiyevaa hata Chupi na Kutwa Mitako Inachungulia tu Nje!!!!!
 
Acheni fikra mgando maestro yuko poa na akiwa hapo studio atazamwe kama maestro siyo kama kiongozi wa simba,julio anafikra mgando mbona hata wachezaji wana mlalamikia anawatukana.

Kweli akili ndogo ni akili ndogo hivi unataka tumtazame kama kiongozi wa Simba wakati huo huo anazungumzia mambo ya simba tena yenye conflict of interest bila kuweka CHINESE WALL...kama hujui mambo kaa kimya hili suala limekaa ki taaluma na weledi zaidi.
 
''nasema hivi,yanga haitufungi ng`o,hata kwa bahati mbaya''-julio kiwelu
 
Tatizo huyu Maestro anapokuwa anatangaza anashindwa kubalance interest kitndo cha kuwa kiongozi wa club kubwa hapa nchini ilitakiwa aache kutangaza kipindi cha michezo clouds sababu hiyo ni Radio huru kama utagundua ana ka unazi fulani...halafu juzi anadiliki kuongelea mgogoro wa Simba akiwa mtangazaji kiongozi wa kipindi wakati yeye ni mjumbe wa kamati ya utendaji iliyomtoa RAGE (conflict of interest) tena hoja zake ni za kutetea maamuzi yao na cha kushangaza zaidi Shaffii Dauda akawa anatoa hoja kuchallenge Maestro kwa kutojua na akamwambia shaffii naomba unichukulie mimi wa hapa clouds...HOPELESS kabisa inawezekanaje wakati tayari ana maslahi kwenye hiyo ishu, ushauri wangu Clouds wampe kipindi kingine au aache kazi.

Kuna wimbo mmoja wa Marehemu Mr. Ebo unaita NJAA INAUMA......yaani hata panya simba utakula tu wakati njaa inauma...hadhi heshima elimu ukiendekeza njaa utaviweka kando.
 
Maestro anaharibu sana kipindi cha sports extra. Hawapi wenzake wasaa na hujiona mjuaji sana! Clouds FM do the needful please!

Acha unafiki siku zote Maestro amekuwa akiwaachia wakina shaff,Jeff kuchambua taarifa nying kuliko yeye,myonge mnyonge lakn haki yake apewe
 
Julio hana lolote.

Makocha wa Tanzania wanapenda sana mizengwe kwa wachezaji kuliko professionalism. Angalia King alivokuwa anawatreat wachezaji, Mombeki kusemwa publically, Kiemba kuambiwa hatapangwa,Henry na Chanongo,Humud na Chombo kupelekwa timu ya vijana kama adhabu
 
Back
Top Bottom