Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,971
Kwanza kabisa niseme wazi, sijakosea kuweka habari hii mahali hapa. Nimefanya hivi kwasababu nataka na wengine wakisome kile ninachokitaka wakisome. Jukwaa zuri la JF ni Jukwaa la Kikubwa tu; Sifa zake ni hizi zifuatazo;
- Ni stress free zone
- Hakuna BAN
- Huingii bila ruhusa - lina heshima ya pekee
- Limesheni Picha na video za maana
- hakuna kutukanana
- Halitumii Lugha ya picha bali uhalisia wa mambo tu
- Members wake wote wamebalehe -kimawazo na kimtazamo
- Halina majungu wala unafiki
- Kuna practicals za kutosha
- Hamuulizani eti Ulijiunga lini au wewe bado m'bichi
- wale wa[piga kelele kwenye majukwaa mengine kule hawaruhusiwi
- Hakuna kukopana wala kutishiana kuwa wewe ni mambo safi
- LINA AGENDA MOJA TU
- nYIngine ongeza mwenyewe kama uliwahi kufika