Jukwaa la wafamasia

Ukisema wanahitajika sana unakosea.

Sema walijitokeza wengi sana kutokana na wingi wao ni mkubwa.

Serikali haiwezi kutamka kuwa tuna shida na watu hao sana, kwan wapo wengi mno,
Haiwezi kuwapa kazi wote wa kada hiyo japo wako tayar na jeshi,
So jua tu uhitaji ni mdogo kwa serikali.
Ilikua ni fursa nzuri kwa vijana kuingia moja kwa moja jeshini bila hata kupita jkt. Wenye fani hizi wanahitajika sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilisema wanahitajika kwa maana ya kua kada ya afya kwa ujumla wake ni moja kati ya kada muhimu jeshini, ndo maana karibu kila mwaka huwa wanaitwa. Kwa jeshi kada ya afya haiwezi kua sawa na kada kama ya uchumi labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli yako ilikua wanahitajika sana.
Na huku sema kuwa wanapewa kipa umbele.

But jua tu,
Pia kwa course za afya ukosefu wa ajira unazid kuongezeka kila kukucha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah noumaa leseni yenyew siku hizi kuipata Pharmacy Council sio jambo la kitoto, lazima ukae chini upige kitabu ohooo, baadh washarudia zaid ya mara 4 ngoma wameikosa noumaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…