I igulwibi Member Joined Mar 21, 2012 Posts 56 Reaction score 9 Aug 9, 2013 #1 Natoa pendekezo kwa mmiliki wa JF na wana JF liwepo jukwaa la kiswahili ili tuweze kujifunza na kukiboresha.
Natoa pendekezo kwa mmiliki wa JF na wana JF liwepo jukwaa la kiswahili ili tuweze kujifunza na kukiboresha.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,789 Reaction score 830,935 Aug 9, 2013 #2 Naungana nawe japo kuna jukwaa la lugha tayari ambalo wapenzi na wachangiaji wale ni Kidogo mno