mtu m-bayaaaa New Member Joined Dec 20, 2021 Posts 4 Reaction score 4 Mar 13, 2022 #1 HABARI ZA SAIZI natafuta ajira ya ualimu wa shule za primary nina uzoefu wa kufundisha masomo yote ya primary na pia ni mtaalamu wa somo la computer(ict) kwa mawasiliano zaidi 0653174431
HABARI ZA SAIZI natafuta ajira ya ualimu wa shule za primary nina uzoefu wa kufundisha masomo yote ya primary na pia ni mtaalamu wa somo la computer(ict) kwa mawasiliano zaidi 0653174431
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,894 Reaction score 82,573 Mar 13, 2022 #2 Unawezaje kuwa na uzowefu wa kufundisha kila kitu mkuu? Jitahidi kuwa specific kuwa ni masomo gani hasa unaweza kufundisha. Itasaidia kuliko kuwa vague kiasi hicho hata kuaminika itakuwa sio sana.
Unawezaje kuwa na uzowefu wa kufundisha kila kitu mkuu? Jitahidi kuwa specific kuwa ni masomo gani hasa unaweza kufundisha. Itasaidia kuliko kuwa vague kiasi hicho hata kuaminika itakuwa sio sana.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Mar 13, 2022 #3 Ngoja waje wamiliki wa shule au wenye connection ya ajira
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,983 Reaction score 1,252,312 Mar 13, 2022 #4 All the best
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,722 Reaction score 197,365 Mar 13, 2022 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...