Jukwaa la ajira na tenda

Jukwaa la ajira na tenda

mouth12

New Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Walimu wa kiswahili wanahitajika 184 walio omba ajira ni Zaidi ya 28000, usaili ukipita na kuwapata walimu wa kiswahili 184, walio faulu usaili na kuweka kwenye database watakua wengi na walio kosa wataomba tena je Kuna haja gani Kwa TCU kutoa dirisha kila mwaka kwa wanafunzi kufanya application za ualimu wa kiswahili na masomo mengine ya sanaa

AJIRA UALIMU - AJIRA PORTAL.

ZINGATIA SAANA OTHERWISE HUTAFANGA USAILI.

WALIOITWA USAILI VS WANAOITAJIA KADA YA UALIMU

1. Daraja la IIIA (Awali)= 20/2024
2. IIIA = 2851/15,640
3. IIIA (Maalum)=13/225

Daraja la IIIB
1. Geography= 175/2878
2. Kemia = 488/3551
3. Bios = 505/3173
4. Tehama = 59/399
5. Awali = 15/846
6. Kiswahili = 142/2400
7. Msingi = 464/2351
8. Civics = 59/ 419
9. History = 152/2269
10. Physics = 740/1513
11. B/maths = 663/1919
12. English = 390/1548
13. Literature = 65/36
14. French = 2/4
15. Bookping =24/75
16. Agriculture = 29/215
17. Commerce = 23/79
18. Maalum = 7/13
19. Food & Nutrition = 2/34
20. Textile = 2/ 4

Generally
Wanaoitajika 11,015
Walioitwa usahili 176,054

AJIRA UALIMU - AJIRA PORTAL

ZINGATIA SANA OTHERWISE HUTOFANYA USAILI.

WANAOHITAJIKA KADA YA UALIMU VS WALIOITWA USAILI

Daraja la IIIC
1. Kiswahili = 184/28,202
2. Geography = 310/26,770
3. History = 211/21,407
4. Literature = 64/7,489
5. English = 412/15,225
6. Bios = 515/11,837
7. Economics = 16/2,698
8. Tehama = 33/1160
9. Agriculture = 31/546
10. Msingi = 37/975
11. Kemia = 544/9891
12. Maalum = 3/ 1011
13. Civics = 46/1622
14. Physics = 633/ 865
15. B/maths = 662/2033
16. Bookping = 19/589
17. French = 3/77
18. Commerce = 22/845

19. Lab Technician = 380/1197

Generally
Wanaoitajika 11,015
Walioitwa usahili 176,054

Swali lingine mfumo umetoa nafasi kwa muombaji kuomba mkoa anaoutaka mwaombaji tena mfumo unaruhusu kuchagua masomo tofauti kwenye mikoa tofauti kwa mfumo huu serikali itakua na kazi kubwa sana kuwafanyia usaili mara mbili kwa mtu mmoja kwa mikoa tofauti walio omba ni Zaidi ya 760000 tufanye nusu ya waombaji fafanye usaili mara mbili kwa mikoa tofauti

Ushauri wangu mfumo usifanye specification ya masomo kama una masomo mawili basi kwa vile mfumo unahitaji ufanye attachment ya vyeti vyako basi hakuna haja ya kuomba kazi kwa somo flani kwa mkoa flani Bali tuombe kazi tu kwavile taarifa zetu tumeziattach mfumo wenyewe utupangie mikoa na somo la kufundisha
 
📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢

Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza.

🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana:

🗣 LUGHA ZA KIGENI
✅ English
✅ French
✅ German
✅ Kitaliana
✅ Russian
✅ Romanian
✅ Spanish
✅ Arabic
✅ Kiswahili
✅ Chines

💻 KOZI ZA COMPUTER
✅ Computer Application
✅ Graphic and Design
✅ Video Production
✅ Air Fare and Ticking

🛠 KOZI NYINGINEZO
✅ Tour Guider
✅ Tuition of all level (Nursery mpaka Advanced)
✅ Cleaner Hotel Management
✅ Ususi
✅ Make Up (Upambaji)
✅ Uchoraji wa hinna na piko

⏳ Mwisho wa Kuwasilisha Maombi: 14/12/2025

🌐 Jinsi ya Kuomba:
Tuma ombi lako kupitia website yetu:
👉 Horizon Institute - Mfumo wa Maombi ya Kazi

📞 Kwa maswali au usaidizi, wasiliana nasi kupitia:
📞 0722 186 012
📞 0786 199 664
📧 Amani Magazeti Zanzibar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom