Ankal Kaizer nimekukubali kwa kumiliki sever ya memory kumbe avataar yako si kiashiria cha wapotezao mbukumbuku mapema !
Absolutely true pains ya ile Ban , ilinipeleka takriban two moon nimekaa bila kufanya muamala wowote foramuni, meanwhile a certain ban was over !
Na hadi leo naendelea kuamini penalty ile haikua haki yangu.
Namshukuru Creater of everythin kutuCreate na kitengo cha kusahau .
Shem!
Mi n'tu n'zima ! Nilishakustukia mapeeemaa! Kwamba inkatikia! Haya santee kwa taarifa , nakutumia vipolo/viroba (sio vya ulabu) viwili vya ukwaju .
Usiku mwema mpenzi !
Nakupenda sana Koku .
Ooh Shem , ujumbe nimeupata nimeshaamka! Sentee !
Sure once night again !
Bt it's not ordinary night as usual !
It's a night without power (electricity)
na mwezi upo gizani !
Ni moja kt ya nyusiku mbaya nilizopata ziona .
Leo ndiyo oohfff! Tunao , afu umeshan'zoesha kupata neno lako milango hii , leo u'wapi ?