Judgement Miaka miwili Foramuni

Twende siasani afu uwaambie ccm "wakazane" utaipata instantly..

Ayaaa! Njia hiyo usimuoneshe Judgement kwani twaijua mimi nawe kwa kuwa nchi ile iitwayo SIASANI mimi nawe tuna uraia kule. Muepushe na BAN.
 
Last edited by a moderator:
Judgement hongera sana mwaya. Ongeza juhudi.
 
Last edited by a moderator:

Hiyo hiyo kiasi yatosha!
Sasa tubadilishe ahadi , yeyote kt yetu akisikia kwa mwenzake kunaungua anawahi "KUMZIMIA" moto mwenza wake ! Coz The treaty read "KUZIMIANA"
 
Judgement katika kuadhimisha miaka miwili hii G-string itakufaa

Duuh!
Sasa Mjeshi wangu kabanga hako kachupi mbona mie hakatonienea ? Mziki wangu si wa polepole !
Hapo ni must nikiivaa hiyo mzigo mwingine utabaki nje ya banga !
Mi n'zawadie bukta tu !
 
Last edited by a moderator:
H. O . E
Thanks mrembo! Afu siku yangu kama hii , ungetinga hapa ukiwa hiyo mishedo umeiongezea mkolezo! Afu ukazinyanyua na hizo mboni mkabala , wahisani watathmini ! Hujachoka kuangalia chini ?

jana niliweka hii kitu.nikaja maeneo yako hukuwepo
wakiionaje nataka kubadilisha hapooooo

 
jana niliweka hii kitu.nikaja maeneo yako hukuwepo
wakiionaje nataka kubadilisha hapooooo


Atiii ?
Sikuapo?
Labdaa!
Yote kwa yote , huoni hilo jicho ulivoliinua linatoa tamko "come" unataka "nikuje"? Au ?
 

nduguyo kashafanya mambo
kwani hajkwambia?kijacho anazingua kweli
 
Duuh!
Sasa Mjeshi wangu kabanga hako kachupi mbona mie hakatonienea ? Mziki wangu si wa polepole !
Hapo ni must nikiivaa hiyo mzigo mwingine utabaki nje ya banga !
Mi n'zawadie bukta tu !
teh teh teh..... poa kaka!
 
hahahaa we ukuje tu mie nipo.......

jicho lasema yote ambayo kinywa kilipaswa kitamke

Mashaallah!
Hujamaliza kauli mi nilikua n'shatia maguu !
Afu kufuatia mvua iendeleayo kububujika , njia ya kwetu mabriji yamejaa m'ma!
Hakurudiki nimeaga nambonji pande hizo!
Kutambonjika?
Hakunako wavimba -mboni ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…