contract ziko za kawaida kama kuangalia sum insured kulingana na thamani ya gari .ajali imefikia asilimia ngapi ya thamani ya gari ?sio ata taa ya indicator inapasuka kidogo tu unakimbilia wakulipe ,hawawez kucover hiyo loss.umekata bima ya gari kutumika Tanzania ukaenda nalo Kenya apo insurance they will not be liable for the loss.umeendesha uku umelewa they will not be liable for the loss,umezidisha uzito wa gari they will not be liable for the loss.na sasa wamekua makini kuna jamaa walikua wakitumia gari muda flani wanajipatisha ajali ili walipwe jipya maana wanakua wamekata comprehensive cover .kikubwa ukienda soma vizuri mikataba yao..terms and condition