Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 657
- 1,485
πππ πππ ππππ ππππ ππ πππ ππππ
Ndiyo, Jua kuchomoza Magharibi by CYPHER SMITH ROWE
Kwa Muslims hii ni Mojawapo ya Hadith Mtume Muhammad(pbuh) aliisema Karne ya 7.
Nitaenda Haraka kwenye point. Kuna Dalili Kubwa Kumi za Siku ya Kiama Kukaribia.
Tano Kati ya hizo ni Cosmic in Nature, Na Tano ni za Kawaida. Kati ya hizo 5 za Cosmic Mojawapo ni Jua kuchomoza Magharib.
Wengi tunafahamu Jua huchomoza Mashariki. Ila Siku hii litachomokea Magharib.
Kwa tunaofatilia Astrophysics na Geophysics,
Tuna Theory inayosema kuwa, Dunia mwanzoni ilikuwa inakamilisha mzunguko mmoja kwa Masaa 4.
Ikawa inapungua speed mpaka kuja kufikia Masaa 23 na Dakika 56s na Sekunde 4. Na inaaminika Dunia itashindwa kusapoti kupungua huku kwa speed na kufikia point haitoweza kustahimili.
Na hapo Dunia kutokana na Mass yake itabehave kama Spring(wengi tunaijua spring) kwamba itafika point itasimama na Kuforce Kurudi nyuma kuikataa force iliyokuwa inaisukuma kwenda mbele na kutaka Kurudi nyuma sasa.
Hudhaif ibn Yaman anasimulia Mtume alivyosema βMausiku mawili yatafatana na watu wataamka na kukuta Usiku wa mwanzo umeisha na mwengine umeingia wataogopa na watagundua Jua halijachomoza Usiku mwengine unaingia na wataona Jua linachomoza lakini Siku hii litachomoza Magharibβ
Kinachotokea hapo juu Dunia inabadilika muelekeo kutoka kushoto kwenda kulia na itaanza kutoka Kulia kwenda kushoto na Ndio Jua litaonekana Likitokea Magharibi.
Na Hapo Ndiyo Kiama Kitakuwa kimefika Hakuna Toba Itakubaliwa and after this ni Matetemeko Matatu Makubwa yatafatana.
This is The Day in a Nutshell Wanangu.
Nifollow kwa Habari zaidi.
Hii kuna mtu ameiandika TWITTER a lot aitwa CYPHER SMUTH ROWE nikaona siyo mbaya to share here for a detailed discussion