Hakuna aliye tayari kukwambia ukweli wa utajiri wake wala chanzo..... We tulia tu na dorry wako ukikaa nae vizuri anaweza akakupapo hata million 5 ukaongezea kwenye mtaji wako.

Mimi niliambiwa ngoja nikumegee, utajiri hasa kwenye bara letu la giza unapatikana kwa uvunjifu mkubwa sana wa sheria , tofauti na hapo niliambiwa nitafute basic needs zangu tu bila wazo la kutajirika.
Mimi niliambiwa ngoja nikumegee, utajiri hasa kwenye bara letu la giza unapatika kwa uvunjifu mkubwa sana wa sheria , tofauti na hapo niliambiwa nitafute basic needs zangu tu bila wazo la kutajirika.
Hakuna aliye tayari kukwambia ukweli wa utajiri wake wala chanzo..... We tulia tu na dorry wako ukikaa nae vizuri anaweza akakupapo hata million 5 ukaongezea kwenye mtaji wako.
Mimi niliambiwa ngoja nikumegee, utajiri hasa kwenye bara letu la giza unapatikana kwa uvunjifu mkubwa sana wa sheria , tofauti na hapo niliambiwa nitafute basic needs zangu tu bila wazo la kutajirika.
Jua ni kali sana Dar mpaka muda huu inasoma 35°C mpaka muda huu kunafukuta balaa kuna muda nilicheck ilikua 39°C watu wanachemshwa km vitunguu kwenye chungu cha mboga
Iga ufe. Sasa hivi wamekuja na masharti mengine kama kutatuliwa rinda ukiondoa kuwatoa wapendwa wako kafara. Ukikataa kutatuliwa wenyewe wanakuua kama mwenye mabasi ya Sauli alikataa kumtoa kijana wake na kuvuliwa ubingwa akaamua kufa kiume.