Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,845
Salam alykum.
Ndugu zangu katika imani. Jua kali sana.
Kali mno...
Ndugu zangu katika imani. Jua kali sana.
Kali mno...
Kwa jua hili mkuu nikauze urojo stend au nikabeti...Umenikumbusha hii interview nitaitafuta
Mimi niliambiwa ngoja nikumegee, utajiri hasa kwenye bara letu la giza unapatikana kwa uvunjifu mkubwa sana wa sheria , tofauti na hapo niliambiwa nitafute basic needs zangu tu bila wazo la kutajirika.Hakuna aliye tayari kukwambia ukweli wa utajiri wake wala chanzo..... We tulia tu na dorry wako ukikaa nae vizuri anaweza akakupapo hata million 5 ukaongezea kwenye mtaji wako.
Ni kweli kabisa,, na bila kusahau upenyo wowote ukipatikana huku bara la Giza we tumia kujipatia mema.Mimi niliambiwa ngoja nikumegee, utajiri hasa kwenye bara letu la giza unapatika kwa uvunjifu mkubwa sana wa sheria , tofauti na hapo niliambiwa nitafute basic needs zangu tu bila wazo la kutajirika.
Kumbe huwa unaandika comment.Hakuna aliye tayari kukwambia ukweli wa utajiri wake wala chanzo..... We tulia tu na dorry wako ukikaa nae vizuri anaweza akakupapo hata million 5 ukaongezea kwenye mtaji wako.
Mambo yakuwa ethical ndio chanzo cha umaskini wetu.Mimi niliambiwa ngoja nikumegee, utajiri hasa kwenye bara letu la giza unapatikana kwa uvunjifu mkubwa sana wa sheria , tofauti na hapo niliambiwa nitafute basic needs zangu tu bila wazo la kutajirika.
Kabisa , ukijifanya una soma vitabu vya kina pua dadi na richi dadi utachelewa sanaNi kweli kabisa,, na bila kusahau upenyo wowote ukipatikana huku bara la Giza we tumia kujipatia mema.
Kabisa , mifumo ikisha shikiliwa na wahalifu ngumu sana kufanikiwa kwa njia zilizonyookaMambo yakuwa ethical ndio chanzo cha umaskini wetu.
New York wanalihitaji sana hilo JUA. Jana wamekufa wa 18 kwa baridi Kali.
Iga ufe. Sasa hivi wamekuja na masharti mengine kama kutatuliwa rinda ukiondoa kuwatoa wapendwa wako kafara. Ukikataa kutatuliwa wenyewe wanakuua kama mwenye mabasi ya Sauli alikataa kumtoa kijana wake na kuvuliwa ubingwa akaamua kufa kiume.
Kwa hiyo hujawahi ona comment yangu popote?Kumbe huwa unaandika comment.