kamanda wa mara
Member
- Oct 9, 2017
- 23
- 48
Atakumbukwa kwa mabaya mkuu!!! Kwani Mobotu wanamkumbuka Zaire?upinzani hauna wala haujui jema, leo mnamkumbuka kikwete baada ya kumsimanga sana ila uzuri na magufuli atakuja kukumbukwa na kuenziwa kwa anayofanya
Hatari ya jiwe iko wapi? Kutuambia ukweli?Jiwe ni hatari sana.
Ataenziwa na familia yenuupinzani hauna wala haujui jema, leo mnamkumbuka kikwete baada ya kumsimanga sana ila uzuri na magufuli atakuja kukumbukwa na kuenziwa kwa anayofanya
Si rahisi kihivyo...upinzani hauna wala haujui jema, leo mnamkumbuka kikwete baada ya kumsimanga sana ila uzuri na magufuli atakuja kukumbukwa na kuenziwa kwa anayofanya
Mkuu usimfananishe mobutu na jiweAtakumbukwa kwa mabaya mkuu!!! Kwani Mobotu wanamkumbuka Zaire?
Kuvuruga uchumi.Hatari ya jiwe iko wapi? Kutuambia ukweli?
Achana na Bavichaa wa arusha hawa mkuu.upinzani hauna wala haujui jema, leo mnamkumbuka kikwete baada ya kumsimanga sana ila uzuri na magufuli atakuja kukumbukwa na kuenziwa kwa anayofanya
Bivacha imefata nn ,jibu hojaAchana na Bavichaa wa arusha hawa mkuu.
Magufuli is the great!
Naomba kuuliza hivi kenge na mamba wanatoka familia moja